January 22, 2015



Cape Verde na DR Congo zimemaliza mechi yao ya pili ya Kundi B kwa sare ya bila kufungana katika mechi ya Kombe la Mataifa Afrika inayoendelea nchini Equatorial Guinea.


Sare hiyo inazipa timu hizo nafasi ya pili na ya tatu katika kundi hilo nyuma ya Tunisia yenye pointi nne.

Zambia ndiyo inashika mkia ikiwa na pointi moja, lakini ina nafasi kutokana na mechi ya mwisho hasa kama itashinda.


HAHA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic