KAMPUNI MAARUFU NA KONGWE YA VINYWAJI YA COCA COLA IMEINGIA KATIKA MFUMO MPYA WA UBUNIFU WA KUTENGENEZA VINYWAJI VYAKE VIKIWA NA MAJINA MBALIMBALI. HAWAKUSAHAU KUCHAGUA BLOG CHACHE MAARUFU NA MOJA WAPO NI HII UIPENDAYO YA SALEHJEMBE AMBAYO INASOMWA TANZANIA, AFRIKA MASHARIKI, AFRIKA YOTE, ULAYA, ASIA NA DUNIANI KOTE HUKU IKIZIDI KUONGEZA WASOMAJI KWA KASI KUBWA. AHSANTE COCA COLA....SALEHJEMBE IS STILL FLYING HI...SHUKRANI KWENU WOTE WASOMAJI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment