Hii ni picha tu, Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selemani Matola wakiwa kazini kwenye Uwanja wa Boko jijini Dar es Salaam.
Kinachovutia ni kwamba Kopunovic ameonyesha kidole kimoja na Matola anasisitiza viwili.
Ni kuhusu kitu gani? Hatujui, kidole kimoja au viwili? Nani anayesema sahihi. Ahhh, wanajua wenyewe!

0 COMMENTS:
Post a Comment