Beki George
Michael maarufu kama “Beki katili” amerejea na mkosi baada ya ukumbana na kadi
nyekundu.
Michael
amechapwa kadi nyekundu wakati timu yake ya Ruvu Shooting ikiwa inapambana na
Polisi Moro kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro na mechi ikaisha kwa sare
ya 0-0.
Michael
alikutana na adhabu hiyo kwa madai alimpiga kiwiko mchezaji wa Polisi ingawa
Msemaji wa Shooting, Masau Bwire amepinga hilo.
Beki huyo
alikutana na tafrani kubwa kwa mara ya kwanza baada ya kumkaba Amissi Tambwe wa
Yanga na picha za tukio kunaswa na gazeti maarufu la michezo la Championi.
0 COMMENTS:
Post a Comment