Maandalizi
ya mkutano mkuu wa mwaka wa TFF utakaofanyika mjini Morogoro kati ya Machi
14,15 mwaka huu katika Ukumbi wa Morogoro Hotel yanaendelea vizuri.
Agenda
za mkutano mkuu ni:
1.Kufungua
Mkutano
2. Uhakiki
wa Wajumbe
3.
Kuthibitisha Ajenda.
4.
Kuthibitisha Muhtsari wa Mkutano Mkuu uliopita.
5.
Yatokanayo na Mkutano uliopita.
6. Hotuba
ya Rais.
7. Ripoti
kutoka kwa Wanachama
8.
Kuthibitisha ripoti ya utekelezaji wa Kamati ya Utendaji.
9.
Kuthibitisha ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu 2013.
10.
Kuthibitisha ripoti ya Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu.
11.
Kupitisha bajeti ya 2015
12.
Marekebisho ya Katiba
13.
Mengineyo
14.
Kufunga Mkutano.
0 COMMENTS:
Post a Comment