MARA KADHAA, MTOTO WA KOCHA WA SIMBA, GORAN KOPUNOVIC AMEKUWA AKIUNGANA NA BABA YAKE KATIKA MAZOEZI YA TIMU HIYO. MTOTO HUYO AMEKUWA AKIONYESHA KUWA ANA MAPENZI MAKUBWA NA MCHEZO WA MPIRA. KOPUNOVIC ANASEMA AMEKUWA AKIMPA NAFASI MWANAYE KUUNGANA NAYE KIPINDI ANAPOKUWA AMEPUMZIKA NA MASUALA YA SHULE.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment