March 31, 2015

HII NDIYO NYUMBA ATAKAYOISHI KIUNGO NYOTA STEVEN GERRARD BAADA YA KUMALIZA MKATABA WAKE NA LIVERPOOL AMBAYO AMEICHEZEA KWA MIAKA 17. TAYARI LA GALAX YA MAREKANI IMEMTENGEA JUMLA HILO LA KIFAHARI LENYE THAMANI YA PAUNI MILIONI 16.8 NA ATAISHI YEYE, MKEWE ALEX NA MABINTI ZAO WATATU KATIKA UFUKWE WA MALIBU, MAGHARIBI YA NCHI YA MAREKANI.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic