Shirikisho la Soka Tanzania
(Caf) limeipanga Tanzania katika kundi la kifo katika michuano ya awali kuwania
kucheza Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2017.
Tanzania imepangwa kundi G
lenye timu za Nigeria, Misri na Chad.
Katika upangaji droo
uliofanyika jijini Cairo, Misri, Y Tanzania sasa itapambana na vigogo hao wa
Afrika.
0 COMMENTS:
Post a Comment