Lile pambano la wakali Floyd Mayweather na Manny Pacquiao sasa si hadithi tena baada ya wakali hao kukabidhiwa mkanda watakauowania.
Kwa pamoja wamekutana na kila mtu ametoa ya moyoni, lakini kila mmoja kajigamba kushinda pambano hilo la Mei 3.
Sura zao zinaweza kuwa na majibu na nini wanataka kufanya, unaweza ukawaona namna wanavyoonekana. Cheki picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment