Uhamisho wa
kipa David De Gea wa Manchester United anatua Real Madrid au la, unabaki
mikononi mwa wakala namba moja duniani wa kuuza wachezaji, Jorge Mendes.
Mendes raia wa
Ureno ambaye alikua akiwa mfanyakazi katika klabu ya usiku kabla ya kuwa wakala
ndiye anaongoza sasa kwa kuwa na wachezaji wengi nyota.
Mendez
anawamiliki wachezaji nyota akiwemo Cristiano Ronaldo, Radamel Falcao, Angel Di
Maria, James Harnandes na hata Kocha Jose Mourinho.
0 COMMENTS:
Post a Comment