WACHEZAJI HAWA WALITUA REAL MADRID WAKITOKEA MANCHESTER UNITED MARA TU BAADA YA KUTANGAZWA WACHEZAJI BORA AU KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA. SAFARI HII NI ZAMU YA KIPA DAVID DE GEA AMBAYE AMEKUWA MCHEZAJI BORA WA MAN UNITED. JE, MAN UNITED WATAWEZA KUBADILI HILO NA KUMUOKOA ABAKI NAO? |
0 COMMENTS:
Post a Comment