May 20, 2015

Mbrazil Phillipe Coutinho amewapiga bao wenzake na kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Liverpool.

Raia huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 22, ametwaa tuzo hiyo ambayo kura zake hupigwa na mashabiki.

Pamoja na hivyo, Coutinho amebeba tuzo nyingine tatu zikiwemo za bao bora na aliyeoonyesha kiwango cha juu kwa mwaka mzima.
Raheem Sterling ambaye anataka kuondoka Liverpool yeye amekuwa kinda bora wa mwaka.

TUZO
Player of the Year: Phillipe Coutinho 

First Team Players' Player of the Year: Phillipe Coutinho
Goal of the Year: Phillipe Coutinho 

Performance of the Year: Philippe Coutinho 

Young Player of the Year: Raheem Sterling 

Ladies Players' Player of the Year: Fara Williams! 

Bill Shankley Community Award: Chris Anders

Supporters Club of the Year: OLSC London 
Academy Players' Player of the Year: Joao Carlos 





Source: Daily Mail


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic