Taifa Stars iko nyumba kwa bao 1-0
katika mechi ya Kombe la Cosafa dhidi ya Swaziland.
Swaziland wanaongoza kwa bao la
Simbizo Mabila beki wa kulia wa Swaziland aliyefunga katika dakika ya 43 baada
ya kumchambua kipa Deogratius Munish ‘Dida’.
Taifa Stars imefika langoni mwa
Swaziland mara 11 wakati wapinzani wao wamefika mara nane.
Hadi mwisho wa dakika 45 Swaziland
wamemiliki mpira zaidi kwa 54% wakati Stars wana 46%.
.
0 COMMENTS:
Post a Comment