Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling
amesisitiza anataka kuondoka Liverpool.
Sterling alikaa na kocha wake, Brendan Rodgers kwamba
ni lazima aondoke.
Hali hiyo inawashangaza wengi lakini kweli kinda huyo
aliamua kukaa na kocha wake mara tu ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Chelsea.
0 COMMENTS:
Post a Comment