MSHAMBULIAJI WA YANGA, MALIMI BUSUNGU AKISHANGILIA BAADA YA KUIFUNGIA YANGA BAO. CHINI AKISHANGILIA PAMOJA NA GEOFREY MWASHUYA ALIYEFUNGA BAO MOJA HUKU BUSUNGU AKIFUNGA MAWILI WAKATI YANGA IKISHINDA BAO 3-0 KATIKA MECHI YAKE YA PILI YA KOMBE LA KAGAME KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.
0 COMMENTS:
Post a Comment