October 11, 2015


Taswira mbili zinaonyesha beki wa Simba, Emiry Nimubona baada ya kuvunjika mmoja wa mfupa wa kidole chake.


Nimubona (mwenye fulana nyeupe) alipelekwa hospitali baada ya kusikia maumivu makali baada ya amzoezi, ikagundulika kidole chake kimepata mushkeli huo.
 
Utaona hapo, Mwinyi Kazimoto akimshangaa na kumpa pole.

Tayari Simba imeondoka kwenda Mbeya kwa ajili ya kuivaa Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Jumatano.

Lakini Nimubona raia wa Burundi anaendelea kubaki jijini Dar es Salaam kwa kuwa sasa ni majeruhi na atakaa nje ya uwanja kwa wiki tatu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic