October 16, 2015



Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amewataka wachezaji wake kuwa na njaa.


Wenger amewataka wachezaji wake kuwa na njaa kama ile waliyoionyesha katika mechi dhidi ya Manchester United.

Katika mechi hiyo, Arsenal waliitandika Man United kwa mabao 3-0 yote yakifungwa mapemaa.

Mabao hayo matatu ya Arsenal yalifungwa katika dakika 20 za mwanzo tu wa mchezo.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic