January 22, 2016

 Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga jana alikutana na masaibu kutokana na ajali ya bodada.

Ally Yanga alipata ajali hiyo katika eneo la Kwa Sokota na kukimbizwa katika Hospitali ya Serikali ya Temeke ambako alipatiwa matibabu.

Taarifa zinaeleza alikuwa na michubuko na alifikishwa hospitalini hapo akiwa katika baiskeli ya magurudumu.

“Alipatiwa matibabu na anaendelea vizuri lakini ajali ilikuwa mbaya,” alieleza shuhuda wa ajali hiyo iliyotokea, Ally akiwa njiani kurejea nyumbani baada ya ushindi wa mabao 5-0 ilioupata Yanga dhidi ya Majimaji ya Songea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic