Viungo mahiri enzi hizo wa Milambo FC, Renatus Njohole na Wilfred Kidau, hapa walikuwa wanakipiga Milambo ya Tabora, kwao ikiwa ni mara ya kwanza kucheza Ligi Kuu Bara iliyokuwa inadhaminiwa na Safari Lager.
Pamoja walicheza michuano ya Sekondari, maarufu kama Umiseta wakiwa Taboara na Kanda ya Magharibi. Kwa sasa Kidau anaendesha maisha yake jijini Dar es Salaam akiwa sehemu ya uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania na Njohole anaishi nchini Uswiss akiwa na familia yake. Maisha bana!
0 COMMENTS:
Post a Comment