January 21, 2016


Majimaji inatokea mjini Songea, kando ya Mto `Ruvuma, leo imeshindiliwa mabao 5-0 na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga.

Mambo yalikuwa magumu kwa watoto hao wa Songea, tano si chache lakini zilikuwa hazizuiliki. Kwani pamoja na kuonyesha soka safi, lakini walishindwa kuzuia mvua hiyo ya mabao kutoka “mitaa ya Jangwani”. Cheki picha za action.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic