January 21, 2016


Kweli wachezaji wakikutana wakati mwingine wanakuwa utafikiri watoto; mfano mzuri ni Cristiano Ronaldo aliyeamua kumfinya sikio beki Sergio Ramos wakati wakipiga picha maalum wakiwa na Rais wa Real Madrid, Florentino Perez.

Perez alikuwa akipiga picha na vijana wake, Ramos alikuwa karibu kabisa akizungumza na milionea huyo. Haraka Ronaldo akamfinya sikio Ramos anayejulikana kwa ukorofi.


Kwa kuwa alikuwa akizungumza na Rais wa klabu, akashindwa hata kugeuka na kujikuta akivumilia alichokuwa akifanyiwa na mshikaji wake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic