KUFUKUZWA KITU GANI BANA, VAN GAAL AENDA KULA BATA URENO Aliyekuwa kocha wa Manchester United, Louis van Gaal ameamua zake kupoza machungu ya kufukuzwa kazi. Ameonekana akiwa na mkewe akila "mibata" taariibu. Van Gaal raia wa Uholanzi amesafiri hadi Ureno ambako amekuwa akiburudika na mkewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment