July 11, 2016


Waandishi mbalimbali, wadau wa habari na wadau wa michezo wamejitokeza kumuaga mwandishi mwanadamizi wa gazeti la Majira, Elizabeth Mayemba aliyefariki dunia juzi.

Elizabeth amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.

Shughuli ya kumuaga ilifanyika nyumbani kwake Tabata na baada ya hapo mwili umesafirishwa kwenda Morogoro kwa mazishi.

Buriani rafiki yetu Elizabeth Mayemba.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV