July 21, 2016

 Manchester United imekubali kulipa kitita cha pauni milioni 105 ili kumnasa Paul Pogba.

Pogba anayetokea Juventus, amekuwa gumzo baada ya kuwa na tetesi za kutakiwa na Manchester United na Real Madrid.

Hata hivyo, Madrid walijitoa na kuna taarifa ambazo zimeripotiwa na BBC kwamba Man United imekubali kumwaga fedha hizo ili kumpata kwa kuwa Kocha Jose Mourinho amesisitiza, anamhitaji hasa.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic