September 17, 2016Yanga, leo Jumamosi itakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Mwadui kwenye Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga katika Ligi Kuu Bara.


Kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mchezo huo hiki hapa:
 
1. Ali Mustafa
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Andrew Vicent
5.Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Deusi Kaseke

Wanaoanzia benchi;
- Deogratius Munishi
- Oscar Joshua
- Juma Mahadhi
- Yusufu Mhilu
- Obrey Chirwa
- Haruna Niyonzima
-Canavaro.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV