September 17, 2016

Simba inatarajiwa kuwa mgeni wa Azam FC, leo Jumamosi, mchezo utapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. SALEH JEMBE itakuletea LIVE matukio yote ya mchezo huo wa Ligi Kuu Bara.


KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO HIKI HAPA:
1. Angban
2. Zimbwe Jr
3. Bokungu
4. Lufunga
5. Mwanjale
6. Mkude
7. Kichuya
8. Mzamiru
9. Mavugo
10. Ajib
11. Mnyate

Wanaoanzia benchi
Manyika
Ame Ali
Blagnon
Ndemla
Hamad

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV