MWENYEKITI WA YANGA, YUSUF MANJI |
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika keshokutwa Jumapili.
Taarifa za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd, wamefikishiwa taarifa hiyo.
Chacha na wahuni wenzie safari yao ya uanachama ndio inaelekea ukingoni
ReplyDelete