October 21, 2016

MWENYEKITI WA YANGA, YUSUF MANJI
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu, imezuia kufanyika kwa mkutano wa dharura wa Yanga uliopangwa kufanyika keshokutwa Jumapili.


Taarifa za uhakika zimeeleza zuia hilo limefanyika jioni hii na tayari Yanga kama klabu, mwenyekiti wake Yusuf Manji na kampuni ya Yanga Yetu Ltd, wamefikishiwa taarifa hiyo.

1 COMMENTS:

  1. Chacha na wahuni wenzie safari yao ya uanachama ndio inaelekea ukingoni

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic