Press Conference
Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji atazungumza na waandishi wa vyombo vya habari vya michezo leo ijumaa 21/10/2016, saa saba na nusu mchana, makao makuu ya club ya Yanga jangwani.
Wote mnakaribishwa.
Imetolewa na Uongozi wa Yanga makao makuu.
21/10/2016
0 COMMENTS:
Post a Comment