July 20, 2017




Kipa Shabani Kado amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Mtibwa Sugar.


Kado amerejea kuichezea Mtibwa Sugar baada ya kuihama na kwenda Mwadui FC ya Shinyanga.

Bosi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser ameithibitishia SALEHJEMBE kurejea kwa Kado.

"Kweli Kado amerejea na amesaini mkataba wa miaka miwili," alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic