September 26, 2017


Atletico Madrid sasa imetangaa rasmi kumrejesha kundini Diego Costa akitokea Chelsea.

Timu hizo zimefikia mwafaka wa dau la pauni milioni 58 na Costa rasmi amekaribishwa nyumbani Atletico na kupewa jezi namba 18.


Mshambulizi huyo ameondoka Chelsea baada ya kocha Antonio Conte kumtumia ujumbe wa maneno, kwamba hamhitaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic