September 26, 2017


Wakati Manchester United inajiandaa kuivaa CSKA Moscow katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kiungo wake Paul Pogba, amenyoa “mnyoo” mpya.


Pogba raia wa Ufaransa anasifika kwa unyoaji wa kila aina, hatacheza mechi hiyo kwa kuwa ni majeruhi na staili yake ataionyesha akiwa jukwaani!

Safari hui anaonekana âmelenga kuonekana tofauti katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.




1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic