October 26, 2017



Kikosi cha Simba kipo mjini Zanzibar na leo wameendelea kujifua licha ya kuwa na maji yaliyotuama katika uwanjani kutokana na mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.

Simba inajiandaa kwa ajili ya mechi yake dhidi ya Yanga keshokutwa Jumamosi.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic