Beki wa Kagera, Juma Said Nyosso anashikiliwa na Polisi mkoani Kagera baada ya kudaiwa kumshambulia shabiki kwa ngumu hadi kuzirai.
Nyosso anatuhumiwa kumvurumishia shabiki huyu ngumi mfululizo mara tu baada ya mechi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Kaitaba.
Katika mechi hiyo Simba iliishinda Kagera Sugar kwa mabao 2-0.
Baada ya mechi kwisha, shabiki huyo alimsogelea Nyosso na kuzungumza maneno yanayoelezwa kumtia hasira beki huyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment