March 27, 2018



Kikosi cha Yanga kinaanza mazoezi mjini Morogoro leo baada ya kusafiri jana kwenda kuweka kambi ya muda mfupi.

Yanga imeweka kambi mjini humo ikiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United utakaopigwa Aprili Mosi 2018.

Mchezo huo utapigwa ikiwa siku ni siku ya Pasaka katika Uwanja wa Namfua mjini Singida.

Kikosi hicho kiliondoka na orodha yenye wachezaji 20 na jumla ya viongozi wa timu wanne.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic