March 26, 2018




Mabingwa watetezi, Yanga wameamua kuweka kambi mjini Morogoro.

Yanga wanafanya maandalizi ya mwisho kujiandaa na mechi yao ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United kwenye Uwanja Namfua mjini Singida.

Mechi itapigwa Aprili Mosi Jumapili ya Pasaka na imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa.

Yanga imeondoka Dar es Salaam leo jioni kwenda Morogoro ikiwa na kikosi cha wachezaji 20 na viongozi nane wa benchi la ufundi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic