May 5, 2018



Manchester United imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Bao pekee la mchezo huo limetiwa kimiani na kiungo Mjerumani Pascal GroB mnamo dakika ya 57 kipindi cha pili.

Matokeo hayo yameifanyia Manchester United kuendelea kusalia kwenye nafasi yake ya pili ikiwa na jumla ya pointi 77 ikiwa imecheza jumla ya michezo 36.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic