Safi sana Magufuli kuna waliobeza wakati alipoanza kazi kwa kasi kuwa lilikuwa povu la cocoacola lakini kila siku zikienda mbele kama ni Coca-Cola basi itakuwa imeongezewa Konyagi.kasi yake ya utendaji wa kazi kwa kweli ni mchapa kazi na anahitaji kuungwa mkono, kama watanzania wote tutakuwa na moyo wa kujitoa namna anavyohangaika muheshimiwa raisi basi kwa kipindi kifupi tu nchi yetu lazima itatoka tu.

ReplyDelete