December 30, 2018

10 COMMENTS:

  1. Kama kubahatsha vp useme matatzo hapo ktk beki?

    ReplyDelete
  2. Kama kubahatsha vp useme matatzo hapo ktk beki?

    ReplyDelete
  3. Kinachendelea Yanga ni kubahatisha tu!Hanna kingine kuna makala Saleh Jembe waliandika hebu fikiria endapo mechi zingekuwa zinaishia dakika 45 za kwanza Yanga wangekuwa wapi?Walibahatika hata kufungwa na Simba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo maana ziliwekwa dk 90 kwa maana 45 za mwanzo mkukisea mtajirekebisha 45 za pili

      Delete
    2. Ivi ww unaesema mechi zingekuwa zinaishia dk 45 una akili timamu kweli

      ,,,😀😀😀😀 Kwahiyo unamaansha yanga wasingeshinda..utaisoma namba mpaka ubingwa

      Delete
  4. JAMANI MPIRA NI DAKIKA 90 MPIRA NI MAGOLI. YANGA KWELI MNASEMA HANA KIKOSI CHA MABILIONI LAKINI WANASHINDA MECHI ZAO. TUKUBALI HILO HALINA UBISHI. IWE BAHATI AU NINIHI LAKINI NDIO HIVYO WANASHINDA.

    ReplyDelete
  5. Upuuzi. Mbeya City ingekuwa nzuri wangekuwa na pointi 23? Point walizonazo ni chini ya nusu ya Yanga

    ReplyDelete
  6. Vizuri sana Simba hambahatishi mmeingia Klabu bingwa CAF baada ya miaka 15..Ni miaka 20 tangu wazee wa kihistoria wa kubahatisha kucheza makundi CAF na wanabahatisha ubingwa wa Tanzania kila kwa miaka mingi

    ReplyDelete
  7. kubali tu ndugu yangu haya maneno yenu NITAFANYIA KAZI TUMEYAZOEA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic