VIDEO: KOCHA MBEYA CITY AWAPIGA DONGO YANGA
Kocha mkuu wa Mbeya City Nsanzurwimo Ramadhani amesema kilicho tokea katika mchezo wao dhidi ya Yanga ni kubahatisha kwa timu hiyo kuwa funga licha yakutambua makosa yalikuwa sehemu ya beki atafanyia kazi katika safu ya mabeki








Kama kubahatsha vp useme matatzo hapo ktk beki?
ReplyDeleteKama kubahatsha vp useme matatzo hapo ktk beki?
ReplyDeleteKinachendelea Yanga ni kubahatisha tu!Hanna kingine kuna makala Saleh Jembe waliandika hebu fikiria endapo mechi zingekuwa zinaishia dakika 45 za kwanza Yanga wangekuwa wapi?Walibahatika hata kufungwa na Simba
ReplyDeleteNdo maana ziliwekwa dk 90 kwa maana 45 za mwanzo mkukisea mtajirekebisha 45 za pili
DeleteIvi ww unaesema mechi zingekuwa zinaishia dk 45 una akili timamu kweli
Delete,,,😀😀😀😀 Kwahiyo unamaansha yanga wasingeshinda..utaisoma namba mpaka ubingwa
JAMANI MPIRA NI DAKIKA 90 MPIRA NI MAGOLI. YANGA KWELI MNASEMA HANA KIKOSI CHA MABILIONI LAKINI WANASHINDA MECHI ZAO. TUKUBALI HILO HALINA UBISHI. IWE BAHATI AU NINIHI LAKINI NDIO HIVYO WANASHINDA.
ReplyDeleteUpuuzi. Mbeya City ingekuwa nzuri wangekuwa na pointi 23? Point walizonazo ni chini ya nusu ya Yanga
ReplyDeleteVizuri sana Simba hambahatishi mmeingia Klabu bingwa CAF baada ya miaka 15..Ni miaka 20 tangu wazee wa kihistoria wa kubahatisha kucheza makundi CAF na wanabahatisha ubingwa wa Tanzania kila kwa miaka mingi
ReplyDeletekubali tu ndugu yangu haya maneno yenu NITAFANYIA KAZI TUMEYAZOEA
ReplyDeleteatulie huyu nae
ReplyDelete