Baada ya baba mzazi wa Diamond Platnumz, Mzee Abdul Jumaa kuachia wimbo wake mpya ambao ameshirikishwa na Sungura amefunguka kuwa amefanya ngoma hiyo bila gharama yoyote na anafurahi kwa sababu wananchi wameupokea vizuri.
Baba Diamond amesema ngoma yake hiyo aliyoipa jina la DUDU LA YUYU itakuwa ni ngoma yake ya mwisho labda kama atashirikishwa na watoto wake (Diamond au Queen Darleen), basi ataimba kwa sababu anajua.
Mbali na hapo amemshukuru Diamond kwa kusapoti kazi yake na kuwa amefurahi sana kwa hicho kitendo.
VIDEO: MSIKI MZEE ABDUL AKIFUNGUKA
0 COMMENTS:
Post a Comment