August 16, 2019

2 COMMENTS:

  1. Mjadala uwe namna gani wanachama na mashabiki wa Yanga waende Botswana kuhamasisha timu ili wapate ushindi...hili ndilo la kulifanya kwa sasa hivi

    ReplyDelete
  2. Salehe Ally ni mwandishi mkongwe...ila umekosa weledi wa kazi yako na kuegemea upande wa habari za kishabiki...hebu tueleze kwa kipande hicho cha video watu wa4 wamehojiwa,ni mmoja tu amesema kuwa D10 hafanyi Kumhamasisha yeye kwenda uwanjani...wahojiwa wote wameeleza kuwa D10 anafanya kazi zake vizuri na ISIPOKUWA mashabiki hawana imani na ti mu yao ndio maana hawahamasiki kwenda uwanjani wakihofia matokeo mabovu na kutokupata ladha tamu ya mpira...sasa hapo mahakama ipi imemkataa D10????????....waandishi hovyo kama wewe ndio maana mpo very cheap na kukosa weledi wa kazi zenu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic