Wewe nae unaamini yanayoandikwa na magazeti ya udaku. Jana waliandika Makambo tayari Yanga. Kumbe uongo tu.Wanauza magazeti kwa vichwa vya habari vya kuzusha.
Huoni habari ya Jackson mayanja hapo imeandikwa "kocha ligi kuu..." Halafu ndani aliyekuwa kocha wa ligi kuu.. Yaani Leo wakitaka kuandika habari ya Amunike title wataanza na "kocha wa Taiga stars..." Ovyo kabisa! Usije ukaamini kitu cha humu hadi ukithibitishe toka vyanzo vya kuaminika.. Sivitaji tu kuheshimu mambo ya kibiashara
Hivi hiyu Okwo bado ana mpira wa kustahili mshahara kufuru? Hiko aliko ana namba ya kudumu kikosi cha kwanza? Ai ni yale yale mazoea yetu wabongo?
ReplyDeleteWewe nae unaamini yanayoandikwa na magazeti ya udaku. Jana waliandika Makambo tayari Yanga. Kumbe uongo tu.Wanauza magazeti kwa vichwa vya habari vya kuzusha.
ReplyDeleteHuoni habari ya Jackson mayanja hapo imeandikwa "kocha ligi kuu..." Halafu ndani aliyekuwa kocha wa ligi kuu..
ReplyDeleteYaani Leo wakitaka kuandika habari ya Amunike title wataanza na "kocha wa Taiga stars..."
Ovyo kabisa! Usije ukaamini kitu cha humu hadi ukithibitishe toka vyanzo vya kuaminika.. Sivitaji tu kuheshimu mambo ya kibiashara