April 5, 2020

3 COMMENTS:

  1. Hivi hiyu Okwo bado ana mpira wa kustahili mshahara kufuru? Hiko aliko ana namba ya kudumu kikosi cha kwanza? Ai ni yale yale mazoea yetu wabongo?

    ReplyDelete
  2. Wewe nae unaamini yanayoandikwa na magazeti ya udaku. Jana waliandika Makambo tayari Yanga. Kumbe uongo tu.Wanauza magazeti kwa vichwa vya habari vya kuzusha.

    ReplyDelete
  3. Huoni habari ya Jackson mayanja hapo imeandikwa "kocha ligi kuu..." Halafu ndani aliyekuwa kocha wa ligi kuu..
    Yaani Leo wakitaka kuandika habari ya Amunike title wataanza na "kocha wa Taiga stars..."
    Ovyo kabisa! Usije ukaamini kitu cha humu hadi ukithibitishe toka vyanzo vya kuaminika.. Sivitaji tu kuheshimu mambo ya kibiashara

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic