BREAKING:KIGOGO YANGA APIGWA CHINI MAZIMA TAARIFA kutoka Yanga kumtimua Ofisa Masoko ndani ya Klabu ya Yanga
Mmeshaanza kufukuzana GONGOWAZI
ReplyDeleteGongowazi tulieni acheni kubabaika ligi inaanza next month
ReplyDeleteHuyu mlisahau kumfukuza na kina yondani. Ngoja ligi ianze ndo mtanena kwa lugha
ReplyDeleteUtopolo at their best.Na vyombo vyao habari.Ingekuwa uosnde ws pili zingetafutwa sababu kede kede. Ohh haelewani na Bodi ohh kunafuka moshi. Kwa Utopolo kimyaaaa hawana la kuchochea.
ReplyDeleteMtafukuka mbaka gsm 😂😂
ReplyDelete