KIPA NAMUNGO FC AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR NA RUVU Adam Oseja kipa namba mbili wa Namungo FC ya Lindi anasema kuwa msimu wa 2019/20 ulikuwa na ushindani wa kipekee ana imani 2020/21 atafanya makubwa zaidi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar, Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting zinaiwinda saini yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment