BREAKING:KIGOGO YANGA AFUTWA KAZI UONGOZI wa Yanga umemsimamisha kazi Kaimu Katibu Mkuu ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, wakili msomi Simon Patrick.Taarifa iliyotolewa imeeleza kuwa maamuzi hayo yamekuja baada ya kukaa kikao cha dharula Novemba 11.Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-
Mbona kosa lake haliwekwi wazi?
ReplyDeletesi wameshasema kua wanafanya uchunguzi hivyo subiri uchunguzi uishe utajua nini tatizo au kama tuhuma zitakua za haki au sivyo
ReplyDeleteSasa kwa nini wametutangazia kumfuta kazi ili hali bado hawawezi kusema kosa lake hadi uchunguzi ufanyike? Wangesema anatuhumiwa kwa hili na hili ila uchunguzi unaendelea
ReplyDeleteHv vilab bwana wanaigana ili kubalance sabb ya senzo
ReplyDeleteNi kweli, huyu nae atatupiwa tuhuma ya kuihujumu klabu kama walivyofanya upande wa pili
ReplyDeleteUtopolo bwana
ReplyDeleteAmesimamishwa kipisha uchunguzi, hiyo neno kufukizwa ni la Muandishi
ReplyDeleteJamaa katoa information kwa simba mukoko ni wa mkopo.so wameshaanz kuhofia
ReplyDelete