KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 22 mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku kipo namna hii:-
1: Metacha Mnata
2. Kibwana Shomari
3.Yassin Mustapha
4.Lamine Moro
5.Bakari Mwamnyeto
6.Tonombe Mukoko
7.Tuisila Kisinda
8.Feisal Salum
9.Michael Sarpong
10. Carlos Carlinhos
11. Farid Mussa
Wachezaji wa akiba
Kabwili
Makapu
Adeyun
Mauya
Kaseke
Yacouba
Nchimbi
Kikosi cha ushindi god bless us bless yanga
ReplyDeleteKila lakher yanga
ReplyDeleteHapo leo kuna 3...kila la heri WANANCHI
ReplyDeleteKama Lawanda yetu kagoli kamoja kwa Masada wa refa
ReplyDeleteTulia kwanza komoni iishe kichwani ndo uje uandike utumbo wako hapa maana hatukuelewi
Delete