Wanataka front page halafu hawana lollte waandishi uchwara sana kama huna kitu cha kuweka front peji c uweke katuni tu saido seido alikuwepo yekpe yuko wapi sasa!!mnampaisha akina mukoko na tuidila wako wapi so wakawaida tu acheni promo fanyeni kazi kiuweledi na kuhamasisha MPIRA kwa manufaa ya nchi wapo wachezaji tz wanafanya poa sana ila hata picha zao hamuweki au had I ulipie?? Achani hzo waandishi wetu mnafeli sana sana tu by kelvin
Kagoli kamoja kelele milioni. Andaeni visingizio maana mwisho wa msimu lazima mlie
ReplyDeleteChezeni mpira acheni promo haisaidii
ReplyDeleteDaah waandishi wakati mwingine huandika ujinga mtupu.sasa wanatibuaje
ReplyDeleteNia yao ni kuivuruga SIMBA Ila wanashindwa
ReplyDeleteWanataka front page halafu hawana lollte waandishi uchwara sana kama huna kitu cha kuweka front peji c uweke katuni tu saido seido alikuwepo yekpe yuko wapi sasa!!mnampaisha akina mukoko na tuidila wako wapi so wakawaida tu acheni promo fanyeni kazi kiuweledi na kuhamasisha MPIRA kwa manufaa ya nchi wapo wachezaji tz wanafanya poa sana ila hata picha zao hamuweki au had I ulipie?? Achani hzo waandishi wetu mnafeli sana sana tu by kelvin
ReplyDeleteMnataka muandikiwe ninyi tu habari zenu eeeeh,badilikeni hii page sio ya yanga wala Simba anaandika anachokiona km auna muda nacho piteni hivi
ReplyDeleteMume wenu yupo safarini(kuchukua ushindi) muda cmrefu anarudi kuchukua nafasi yake kwamkewe utpolo
ReplyDeleteWazee wa tuta..hehe..
ReplyDeleteNyamaza ww wkt Bwn wko Ruvu anashghulkiwa ulnyamaza sahv unachonga?, sawa yko inachemka
ReplyDelete