December 22, 2020


SVEN Vandenbroeck amesemakuwa nyota wawili ambao ni John Bocco nahodha wa timu na kipa namba moja Aishi Manula watakosekana kwenye mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe. 


Sven amesema:-"Tunamasaa machache kabla ya mchezo, tumejaribu kila kitu ili wawe tayari kwa mchezo lakini itakuwa ngumu kuwa tayari. 

"John [Bocco] bado yupo kitandani hayupo sawa, Aishi aliumia mchezo uliopita na anaweza kuchukua wiki au zaidi ili kuwa sawa. Mpaka sasa kuna uwezekano asilimia 50 ya kuwepo kwenye mchezo."


Ikiwa Manula hatakuwa fiti mpaka kesho mikoba yake  anaweza kuchukua Ally Salim ama Beno Kakolanya. 

11 COMMENTS:

  1. Sasa watu wawili tu ndo mnasumbuka nao?Mbona kikosi ni kipana

    ReplyDelete
  2. Huyu sio mzungu ni muongo hatari alisema nini siku ya Yanga kuhusu Chama very unprofessional kishingo

    ReplyDelete
  3. Utopolo inawahusu nini?Vita ya wanaume. Wavulana kaeni kando. Hayawahusu.

    ReplyDelete
  4. Kwani mzungu adanganyi? Hivi bado mnaimani kuwa wazungu no Bora zaidi

    ReplyDelete
  5. Ukiwa unadanganya mara nyingi hata siku ikiwa kweli huaminiki tena, ndio shida hiyo.

    ReplyDelete
  6. Na kila game ambayo wanadanganya wanapata tabu sana, kama ile ambayo walishangilia droo..!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado mnamawazo👆 yakiukoloni, fikra zenu hazijafunguliwa tatizo hilo

      Delete
    2. Kama robo fainali ya FA walivyodanganya kapombe hatakwepo

      Delete
    3. Ndo mpira, mpira mbinu Kama ninyi mbinu zenu kuhonga wapishi wa club ili mpinzani aharibu bado hafunguka kifikra na mmefirisika kimawazo Ninhi utopolo

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic